Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rozalia John wakati alipozindua Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Tatu kwenye kiwanja cha Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia Mbeya, Agosti 2, 2021. Katikati ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea maonesho wakati alipozindua Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Tatu kwenye kiwanja cha Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia Mbeya
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda akizungumza katika uzinduzi Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Tatu kwenye kiwanja cha Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia Mbeya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Tatu kwenye kiwanja cha Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia Mbeya, Agosti 2, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment