WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo ya mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Bandari ya Shumba Mjini Bw.Hussein Rashid akizungumza changamoto katika bandari hiyo. Wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwa katika ziara yake kutembelea Bandari ya Shumba Mjini ambayo inatarajiwa kurasimishwa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Shumba Mjini wakati wa ziara yake kukagua Bandari ya Shumba Mjini, bandari hiyo inatarajiwa kurasimishwa na kujengwa ili kutowa huduma kwa wananchi wa Kijiji hicho.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo ya mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.(Picha na Ikulu)
"Fanyeni tafiti za kina kuhakikisha Watanzania wanapata maji" Waziri Aweso
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
SERIKALI imetoa vifaa vya kisasa vya utafiti wa maji chini ya ardhi,huku
ikitoa maagizo kwa mamlaka za maji kuhakikish...
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment