Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Awasili Kigoma Kuaza Ziara ya Kikazi leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,  Thobias Andengenye  (katikati) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo,  Amandus Nzamba wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara kikazi mkoani humo, Septemba 16, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 16, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.