Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI, MADIWANI NA WANANCHI WA KILWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi, Madiwani na wananchi wa Halmashauri ya wilaya Kilwa kwenye ukumbi wa Kwa Sultan, Kilwa Masoko
Baadhi ya Madiwani, watumishi na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Kwa Sultan uliopo Kilwa Masoko,
Baadhi ya Madiwani, watumishi na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Kwa Sultan uliopo Kilwa Masoko,
Baadhi ya Madiwani, watumishi na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Kwa Sultan uliopo Kilwa Masoko, Oktoba 6, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.