Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Uongozi wa Ulingo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Asasi ya Tanzania Women Cross-Party Platform (T-WCP-ULINGO) wakati Uongozi huo ulipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Asasi ya Tanzania Women Cross-Party Platform (T-WCP-ULINGO) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi huo leo tarehe 27 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.