Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Tanzania Gereza la Kingolwira Morogoro.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Jeshi la Magereza baada ya kupokea salamu ya heshima alipowasili katika viwanja vya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Mkoa wa Morogoro, kwa ajili ya ufunguzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza leo 15-10-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M. Mzee (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martin Shengella na (kulia kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Simbachawene
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M. Mzee (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martin Shengella na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Simbachawene
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Simbachawene,wakimsikilza Mhandisi wa Ujenzi Insp. Thomas Makoye Kazungu akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Morogoro.kabla ya kuuzindua mradi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuuzindua Mradi wa Ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Morogoro  na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George  Simbachawene na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuuzindua Mradi wa Ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Morogoro  na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George  Simbachawene na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee, akitowa maelezo ya Mradi wa ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo 15-10-2021, katika gereza hilo Kingolwira Mkoani Morogoro 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, wakitembelea Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara baada ya uzindua Mradi huo leo 15-10-2021 na (kushoto kwa Rais) Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martin Shegella
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.