Wazri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Masoud Ali Mohammed akizungumza na Tume ya haki za Binaadamu mara walipofika Ofisini hapo kwaajili ya Kujitambulisha
Mwenyekiti Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora Mathew Mwaimu akimweleza Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Masoud Ali Mohammed lengo la ujio wao katika Ofisi hizo .
Mkurugenzi Jumuiya ya Majadiliano ya Vijana (CYD) Hashim Pondeza akizungumza na Tume ya Haki za Binaadamu mara walipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwatembelea na kutaka mashirikiano.
Mwenyekiti Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora Mathew Mwaimu akizungumza na Jumuiya ya Majadiliano ya Vijana (CYD) mara alipofika katika Ofisi zao zilizopo Kilimani (Mnara wa Mbao) kwa lengo la kutaka mashirikiano.
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment