Kiongozi wa TRCS akimkabidhi Cheti mmoja wa mshiriki wa mafunzo ya huduma ya kwanza, mafunzo hayo yametolewa na IFRC kwa wanachama hao na kufanyika Mfikiwa .
WANACHAMA wa TRCS wakifuatilia kwa makini hafla ya kukabidhiwa vyeti vya uhitimu wa mafunzo ya huduma ya kwanza, mafunzo hayo yametolewa na IFRC kwa wanachama hao na kufanyika Mfikiwa.
0 Comments