VIJANA na Wanawake Kutoka Mkoa wa Kusini Pemba,
wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uwezo juu ya utatuzi wa
migogoro ya uchafuzi wa amani na ujenzi wa amani endelevu katika jamii kabla na
baada ya uchaguzi kupitia Jumuiya ya PECEO.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ Pemba,Thabit Othman Abdalla akifungua
mafunzo ya siku moja kwa Vijana na Wanawake juu ya utatuzi wa migogoro ya
uchafuzi wa amani na ujenzi wa amani endelevu katika jamii kabla na baada ya
uchaguzi kupitia Jumuiya ya PECEO.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment