Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Chongolo Akutana na Balozi wa China Nchini Tanzania.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel G. Chongolo (kulia) akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian, mazungumzo yaliofanyika katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Daniel G. Chongolo (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Bi.Chen Mingjian (katikati) na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali (mst) Ngemela Lubinga mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Lumumba Jijini Dar es salaam.(Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.