Habari za Punde

Mhe. Rais Samia afungua Barabara ya Moroco Mwenge, awatembelea Mama Maria Nyerere na Mama Anna Mkapa


Muonekano wa Barabara ya New Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge yenye urefu wa kilometa 4.3 iliyojengwa kwa njia nne kwa ufadhili wa Serikali ya Japani kama inavyoonekana pichani mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU
Wasanii wa Kikundi cha Burudani cha JKT Ruvu wakitoa Burudani wakati wa Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New  Bagamoyo (Moroco – Mwenge)  Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New  Bagamoyo (Moroco – Mwenge)  Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New  Bagamoyo (Moroco – Mwenge)  Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New  Bagamoyo (Moroco – Mwenge)  Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Kitukuu cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere wakati alipomtembelea Mama Maria Nyerere kumjulia hali nyumbani kwake Msasani  Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Msasani  Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Anna Mkapa wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Masaki  Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.