TAARIFA YA MABORESHO YA UMEME MJINI
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linawatangazia wateja wake kuwa litazima umeme kwa utaratibu ufuatao:-
#Tarehe: 29/12/2021
#Siku: Jumatano
#Muda: Saa 12:00 Asubuhi hadi saa 3:30 za asubuhi.
#Laini: Mtoni Mpendae, Cortex na Saateni 5&6.
#Sababu: Matengenezo katika kituo cha kusambazia umeme Mtoni Mjini Unguja.
#Maeneo yatakayokosa umeme:
*MTONI MPENDAE: Darajabovu, Amani, Mwanakwerekwe, Nyarugusu, Fuoni Mambosasa na Fuonii Chunga.
*CORTEX: Mtoni, Maruhubi, Chumbuni Mabanda ya Ng'ombe, Mwembe Makumbi, Kinazini, Kwaalimsha, Kariakoo, Mwembe Shauri, Rahaleo, Michenzani, Kisima Majongoo, Kikwajuni na Kilimani.
*SAATENI 5: Makadara, Shauri Moyo, Michenzani, Mlandege, Drajani na Ben Bela.
*SAATENI 6: Kwa Haji Tumbo, Mchangani, na Mbuyu Taifa.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
.....................................................
Toa taarifa ya umeme kwa kuwasiliana nasi kituo cha huduma za simu 0772877879.
............tunapatikana..........
#tovuti: https://www.zeco.co.tz
#facebook: ZECOZanzibar
#twitter: ZECOZanzibar
#instagram:zecozanzibar
#youtube: ZECOZanzibar
#whatsapp: 0772877879
No comments:
Post a Comment