Habari za Punde

Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Umma Zanzibar (ZAPSWU) chakutana kwa maandalizi ya Baraza Kuu

 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Umma Zanzibar (ZAPSWU) wakitoa michango mbali mbali katika Kikao cha Kamati kwa ajili ya Maandalizi ya Baraza kuu, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Maradhi ya akili Kidongo Chekundu Mjini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Umma Zanzibar (ZAPSWU) Ameir Mwadini Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu maswali mbali mbali waliyouliza Wajumbe, katika Kikao cha Kamati kwa ajili ya Maandalizi ya Kikao cha Baraza Kuu, Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Maradhi ya Akili Kidongo Chekundu Mjini Zanzibar.

 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Umma Zanzibar (ZAPSWU) wakitoa michango mbali mbali katika Kikao cha Kamati kwa ajili ya Maandalizi ya Baraza kuu, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Maradhi ya akili Kidongo Chekundu Mjini Zanzibar.

(PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.