Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Amejumuika katika Ibada Nchini Malawi.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama MboniMpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Patrick iliopo mtaa wa 11, Lilongwe Nchini Malawi. Januari 11,2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.