Habari za Punde

Ninja aenda kwenye matibabu Tunisia


 Klabu ya Yanga imempeleka Nchini Tunisia beki wake wa Kati,Abdallah Shaibu 'Ninja' kwa ajili ya kupata Matibabu ya goti ambalo limekuwa likimsumbua kwa mda mrefu.


Ninja anakuwa mchezaji wa tatu wa Yanga kupelekwa Tunisia kwa Matibabu kwa hivi Karibuni baada ya Yacouba Songne na Kibwana Shomary.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.