Habari za Punde

Siku ya Afya Shehia ya kwa Mtumwajeni jimbo la Magomeni

Mwananchi Asha Rashid Twahir kutoka Shehia ya Kwamtumwajeni Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, akipimwa Maradhi ya Presha, ikiwa ni siku ya Afya kwa Shehia hiyo
Baadhi ya Wananchi kutoka Shehia ya Kwamtumwajeni Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar , wakisubiri Kupima Afya zao ikiwa ni  Siku ya Afya kwa Shehia hiyo.

Daktari Ahmed Juma Said Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, akimpa maelezo Mgojwa, katika Siku ya Afya kwa Shehia ya Kwamtumwajeni,Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar.


Daktari kutoka Hospitali ya Kivunge Seif Yahya Issa, akimpima Maradhi ya Sukari Sheha wa Shehia ya Kwamtumwajeni Rajab Aliy Ngauchwa, ikiwa ni Siku ya Afya kwa Shehia hiyo.

 Sheha wa Shehia ya Kwamtumwajeni, Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar , Rajab Aliy Ngauchwa, akizungumza na Waandishi wa habari katika Siku ya Afya kwa Shehia

(PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.