MRATIBU wa Mradi wa uhamasishaji wa upatikanaji wa
haki za umiliki wa Ardhi kwa Wanawake mwaka 2022 Juma Said Ali, akifungua
mafunzo ya siku mbili ya kutoa elimu ya umiliki wa ardhi kwa akina mama waliomo
katika vikundi vya uzalishaji na vikoba, ili kuweza kutambua hali zao za msingi
za kutetea kumiliki ardhi ili waweze kujikomboa na umaskini, mkutano huo
umeandaliwa na jumuiya ya PECEO kwa ufadhili wa FCS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
OFISA usajili Ardhi na utoaji wa hati miliki kutoka
Kamisheni ya Ardhi Pemba Yussuf Hamad Kombo, akionyesha Hati ya haki ya
matumizi ya ardhi inayotolewa na Kamisheni ya Ardhi Pemba, baada ya mwananchi
kukamilisha usajili wa ardhi yake, katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa
na Jumuiya ya PECEO kwa ufadhili wa FCS.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WASHIRIKI wa Mafunzo ya siku mbili ya kutoa elimu ya
umiliki wa ardhi kwa akina mama waliomo katika vikundi vya uzalishaji na
vikoba, ili kuweza kutambua hali zao za msingi za kutetea kumiliki ardhi ili
waweze kujikomboa na umaskini, mkutano huo umeandaliwa na jumuiya ya PECEO kwa
ufadhili wa FCS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment