Mpiga chapa Mkuu wa Serikali Saidi Mtumwa akiuliza swali kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya kale mara baada ya Waziri huyo kuwasilisha taarifa yake ya mafanikio na utendaji wa Wizara ,kuelekea maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Huko Ukumbi wa Wizara ya utalii Kikwajuni Zanzibar .
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi, Uchumi Na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akitoa taarifa kuhusu utekelezaji na mafanikio ya Wiziara yake kuelekea miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar Hukuo Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Hassan Khatib Hassan akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi Na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga mara baada ya Waziri huyo kuwasilisha taarifa yake ya mafanikio na utendaji wa Wizara ,kuelekea maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Huko Ukumbi wa Wizara ya utalii Kikwajuni Zanzibar .
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment