Habari za Punde

Mhe Azan Zungu Aapishwa Kuwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kulia) akimwapisha Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe.Mussa Azan Zungu kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu baada ya Mbunge huyo kuapishwa kuwa Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu  akiwashukuru wabunge baada ya kuapishwa bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.