Habari za Punde

Naibu Waziri Wizara ya Afya Hassan Khamis Hafidh akizungumza na Maafisa wa Afya kuhusu utendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Jengo la kitengo shirikishi cha Kinga Mama na Mtoto huko Kidongo chekundu Mjini Zanzibar.

Afisa Afya kutoka Bandari ya Malindi  Samira Jamal Said akielezea Utendaji wa kazi katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Jengo la kitengo shirikishi cha Kinga Mama na Mtoto, huko Kidongo chekundu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Maafisa wa Afya waliyohudhuria katika kikao cha utendaji kazi na Naibu Waziri Wizara Afya Hassan Khamis Hafidh, kilichofanyika Ukumbi wa Jengo la kitengo shirikishi cha Kinga Mama na Mtoto huko Kidongo chekundu Mjini Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.