Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ambae Pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amehudhuria Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa amae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kabla ya kuza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM amae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika kastika ukumbi wa White House Jijini Dodoma 
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha cMapinduzi (CCM) wakiwa katika ukumbi wa mkutano jengo la White House wakipitia makabrasha ya Kikao hicho kabla ya kufunguliwa na Mwenyekiti wa Chama Cha NMapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) 

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akifungua Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbiu wa White House Jijini Dodoma leo 31-3-2022, na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamari Kuu ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akifungua Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.