RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari maalum iliyowaabdalia
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
WANANCHI
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika futari
maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba katika futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kushoto
kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena
Ahmed Said na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Salama
Mbarouk Khatib
WANANCHI
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam
Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya
kumalizika kwa futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Baraza la la
Wawakilishi Wete Pemba
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa
Wadi, baada ya kumalizika kwa futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
No comments:
Post a Comment