Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam wakati akielekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi.
WATAALAM WA USTAWI JAMII WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
-
Na. OWM- KAM
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Rahma
Kisuo amewataka wataalamu na wadau wa Ustawi wa Jamii kufanya kazi kw...
3 minutes ago
.jpg)
0 Comments