Habari za Punde

KIST WAPEWA MAFUNZO YA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt, Mahmoud Abdulwahab akizungumza jambo katika Mafunzo ya Sheria za Utumishi wa Umma yaliyotolewa kwa Wakuu wa Idara na Vitengo wa Taasisi ya Karume, huko  Ukumbi wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.

Mkuu wa Idara ya Masomo ya Jumla kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dr. Khamiss K. Said akiuliza maswali katika Mafunzo yanayohusu Sheria za Utumishi wa Umma, katika Ukumbi wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.

Kaimu katika Idara ya Uhandisi Umeme   kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar  (KIST), Asha R. Nassor akiuliza maswali katika Mafunzo  yanayohusu Sheria za Utumishi wa Umma, katika Ukumbi wa  Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.

Mkufunzi Omar Ali Omar akitoa Mafunzo ya Sheria za Utumishi wa Umma kwa Wakuu wa Idara na Vitengo wa Taasisi ya Karume  ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) , yaliyofanyika Ukumbi wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO – KIST.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.