Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Mhe.Livingstone Lusinde, leo bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na kocha Msaidizi wa Namungo FC, Jamhuri Kihwelu (Julio) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Ramadhan Kailima kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Michaud ya Karatu mkoani Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 23, 2022. Mstari wa mbele kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment