Habari za Punde

Mhe. Rais Samia atoa msaada wa vyakula kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitr

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitoa msaada wa vyakula ikiwemo Mchele, mafuta ya kupikia, Sukari, Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa vikundi mbalimbali vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu Jijini Dodoma, katika Iftari Ikulu Chamwino. 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.