Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aondoka Nchini Akielekea Nchini Uganda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mhe.  Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili. Tarehe 10 Mei 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.