Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid Akizungumza na Mwenyekiti wa Manispaa ya Jiji la Posterdam Nchini Ujerumani Pete Heuer pamoja na Ujumbe wake ambao wapo Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha miaka 5 ya udugu na Baraza la Manispaa Mjini.
Spika BLW akutana na Mwenyekiti wa Manispaa ya Jiji la Posterdam Nchini Ujerumani
byzanzinews.com
-
0