Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika

Waziri wa Uchumi wa Buluu Suleiman Masoud Makame (kushoto) pamoja na watendaji wengine wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa  Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika, wakati Ujumbe huo Ulipokutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi akimsikiliza Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kakwa (kushoto) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo walipofika  Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kulia)  akizungumza na Ujumbe wa  Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kakwa (wa pili kulia)   katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (katikati)  akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa  Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika,(kushoto)   katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo (kulia) Viongozi wa taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kakwa baada ya mazungumzo   yaliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr 12 julai 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.