Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, akifanyiwa mahojiano na Karani wa Sensa, Bi. Habiba Soud Salim, wakati alipokuwa akihesabiwa katika Makaazi yake yaliyopo Mbweni, Mkoa wa Mjini Magharib Unguja leo tarehe 23 Agosti, 2022 kwenye zoezi la kitaifa la Sensa ya Watu na Makaazi.

No comments:
Post a Comment