Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Austria 0fisini Kwake Magogono

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Austria, mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner, wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Austria, mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner (katikati) wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ETEFA GmbH, inayojihusisha na utengenezaji wa magari yanayotumia gesi asilia na ujenzi wa miundombinu ya geni asilia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.