Habari za Punde

Ziara ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Wilayani Rungwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha pamoja cha Forodha Kasumulu Wilayani Kyela Mkoani Mbeya (mpakani ) na Malawi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Kasumulu baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha pamoja cha Forodha Kasumulu Wilayani Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.