RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Kaimu Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.Rick Shearn
alipofika katika Ofisi za Ubalozi Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9-2022,
kusaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa
Uingereza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini Kitabu cha maombelezi kufuatia
kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa
Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9-2022RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisaini
Kitabu cha maombelezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza,
alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam
leo 14-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisaini
Kitabu cha maombelezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza,
alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam
leo 14-9-2022
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akisaini kitabu cha maombolezi kufuatikia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa
Uingereza, alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar
es Salaam leo 14-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kaimu Balozi wa Uingereza
Nchini Tanzania Mhe. Rick Shearn, alipofika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza
Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9- 2022, kwa ajili ya kusaini Kitabu cha
maombolezi kufiatila kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza
No comments:
Post a Comment