RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akiondoka
Nchini leo 14-9-2022 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar, akielekea Nchini Angola kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule
wa Jamhuri ya Angola Mhe. Joao Manuel Goncalves Lourenco, kumuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
TANZANIA KUZINGATIA USAWA WA KIJINSIA KUFIKIA MAENDELEO ENDELEVU 2030
-
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Serikali itaendelea kuzingatia ushirikishwaji wa masuala ya kijinsia
kufikia Mpango wa Maendeleo Endelevu ya Mwaka 2030 katika ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment