Beki wa Timu ya Kundemba akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ,mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja.Timu ya Zimamoto imetoka na ushindi wa bao 1-0.
MRADI WA MAJI BILIONI 119 KUIFAIDISHA RUANGWA - MAJALIWA
-
*Ashiriki kikao cha kutambulisha miaka miwili ya Rais Samia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inakuja na mradi mkubwa wa
maji wenye thamani ya...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment