Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Watanzania Wanaoishi Nchini Korea

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul.
Baadhi ya Watanzania waishio nchini Korea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Mondria, Seoul Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.