Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amezungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali, wakati wa mkutano wake na Waandishi kila mwisho wa mwezi  uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022
WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na waandishi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022

MWANDISHI wa Habari Nguli  Bw. Salim Said Salim akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waandishi uliyofanyika leo 5-11-2022  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI wa Habari Bw. Salum Vuai akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waandishi uliyofanyika leo 5-11-2022  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Nipashe Bi. Rahma Suleiman akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waandishi uliyofanyika leo 5-11-2022  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI wa Habari wa  Zanzibar Cable TV Bi.Neema Zuberi akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waandishi uliyofanyika leo 5-11-2022  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kujibu maswali ya Waandishi wa Habari, wakati wa mkutano wake na Wahariri na Waandishi wa habari uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022

WAKUU wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Waandishi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.