Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022.
Viongozi mbalimbali pamoja na washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa Golden Tulip Zanzibar kushiriki na kuchangia mada mbalimbali kwa viongozi hao Wanawake wa Afrika tarehe 03 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuchangia mada mbalimbali katika Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022.
MO DEWJI: NIMETUMIA BILIONI 87 KWA AJILI YA SIMBA SC
-
Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji)
amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ame...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment