Habari za Punde

Mchezaji Bora wa Mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi Mukrim Juma Madai wa Timu ya KVZ

Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Msami akimkabidhi Fedha Taslimu shilingi Laki Tano Mchezaji Bora wa Mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya 17 Kombe la Mapinduzi Mukrim Juma Madai kwa kuibuka mchezaji Bora wa Mchezo huo wa Ufunguzi kati ya Timu ya Mlandege na KVZ uliofanyika leo nJioni katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya Bao 1--1.  

 

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.