Habari za Punde

Michuano wa 17 Kombe la Mapinduzi Kati ya Azam na Jamhuri Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Timu ya Azam Imeshinda kwa Bao 3--0.

Mchezaji wa Timu yac Azam Prince Dube akijaribu kumpita beki wa Timu ya Jamhuri Abuu Ali Rashid wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0
Mchezaji wa Timu ya Azam na Jamhuri wakiwania mpira wakati mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja leo 5-1-2023, Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0
Mshambuliaji wa Timu ya Azam Reuben Lyanga akimpita beki wa Timu ya Jamhuri Mudrik Ali Hamad wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0.
Beki wa Timu ya Jamhuri Abdulraham Salim Omar akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Azam Abdul Khamis wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0. 
Mshambuliaji wa Timu ya Azam Prince Dube akiruka mkwanja wa beki wa Timu ya Jamhuri Abdulrahaman Salim Omar, wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja leo 5-1-2023, Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0
Wachezaji wa Timu ya Azam wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa kwa mkwaju wa penelti.

Mchezaji wa Timu ya Azam Keneth Muguna na mchezaji wa Timu ya Jamhuri Tepsie Evance wakiwania mpira katika mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.