Habari za Punde

Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Maryam Mwinyi aongoza matembezi ya kupiga vita vitendo vya udhalilishaji

MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiongoza Matembezi ya Kupinga Vita Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto, na kutimiza Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, matembezi hayo yaliyofanyika katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja  na kujumuika na Watoto wa Skuli mbalimbali katika matembezi hayo yaliyoazia Kendwa na kumalizikia katika viwanja vya mpira Nungwi.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiongoza Matembezi ya Kupiga Vita Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, akiwa na baadhi ya Watoto wakishiriki matembezi hayo yaliyoazia katika eneo la Kendwa na kumalizika katika viwanja vya mpira vya  Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Rehema Sombi Omary na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud .(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  akishiriki katika mazoezi ya pamoja ya viungo baada ya kumaliza kwa Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-2-2023, na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)

MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Fujoni wakati wakiimba wimbo maalum wa kupinga vitendo vya unyanyasaji kwa Watoto wakati wa hafla ya Matembezi ya Kupiga Vita Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, iliofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe.(Picha na Ikulu)


WANAFUNZI wa Skuli za Msingi za Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakiwa na mabongo yenye ujumbe wa  “Udhalilishaji kwa Watoto haukubaliki”  wakimsikiliza  Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwahutubia katika viwanja vya mpira vya Nungwi, wakati wa Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Fujoni  wakimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, baada ya kumaliza Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji  kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwahutubia Wananchi katika viwanja vya mpira vya Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, baada ya kumaliza kwa Matembezi ya Kupiga Vita Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto yalioazia katika eneo la Kendwa na kumalizia kwa mazoezi ya pamoja ya viungo na kuadhimisha  Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli za Msingi za Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, iliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi leo 19-2-2023.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwake) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Lela Muhammed Mussa  na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe,wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli za Msingi za Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, iliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi leo 19-2-2023.(Picha na Ikulu)

MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwagaia zawada Wanafunzi wa Skuli za Msingi za Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto na kuadhimisha Mwaka mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, yaliofanyika katika viwanja vya mpira vya Nungwi Mkoa Kaskazini Unguja leo 19-2-2023.(Picha na Ikulu)

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.