Habari za Punde

Ujumbe wa Unwomen na Maofisa wa Ubalozi wa Finland Nchini Tanzania Watembelea Ofisi za TAMWA -Zanzibar

 

Mkurugenzi wa TAMWA-Zanzibar Dkt,Mzuri Issa akizungumza na Ujumbe wa Wadau  wadau wanaosaidia utekelezaji wa miradi mbali mbali ambayo hulenga kuwawezesha wanawake kushika nafasi za uongozi Zanzibar,ugeni huo unatoka katika shirika la umoja wa mataifa linalojihusisha na haki za wanawake ulimenguni Unwomen pamoja na maafisa wa Ubalozi wa Finland Nchini Tanzania. mazungunzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Tamwa Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 7-2-2023
TAMWA-ZNZ imepokea ugeni  kutoka kwa wadau wanaosaidia utekelezaji wa miradi mbali mbali ambayo hulenga kuwawezesha wanawake kushika nafasi za uongozi Zanzibar,ugeni huo unatoka katika shirika la umoja wa mataifa linalojihusisha na haki za wanawake ulimenguni Unwomen pamoja na maafisa wa Ubalozi wa Finland Nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.