Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alipowasili katika viwanja vya Kampyni ya Mafuta ya United Petroleum (UP) Mangapowani kwa ajili ya Uzinduzi wa Bohari ya Mafuta ya kampuni hiyo leo 4-3-2023.
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
3 hours ago
0 Comments