Habari za Punde

Wanafunzi KIST wamaliza mithani yao


 Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma fani ya Electronics and Telecommunication engineering Diploma mwaka wa tatu, wakifanya Mtihani wa Vitendo jinsi ya kutengeneza Monitor za Computer (LCD-MONITER), ikiwa ni wiki ya mwisho ya mitihani ya Semester ya kwanza katika Taasisi ya karume .

PICHA NA MARYAM KIDIKO-KIST.

Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma fani ya Mechanical engineering Diploma mwaka wa kwanza, wakifanya Mtihani wa Vitendo jinsi ya kutengeneza kifaa cha kuwekea vitabu Maktaba (BOOKEND)  ikiwa ni wiki ya mwisho ya mitihani ya Semester ya kwanza katika Taasisi ya karume .

PICHA NA MARYAM KIDIKO-KIST


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.