Habari za Punde

Wananchi wa Dunga Zuze Wakabidhiwa Malipo Yao

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaabani(mwenye miwani)akizungumza wakati akikabidhi Hundi ya Fidia kwa wananchi waliochukuliwa maeneo yao katika Eneo la Kiviwanda Dunga Zuze Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Zaidi ya Sh.Milioni Mia Tano zimetolewa kwa ajili malipo hayo.
Baadhi ya Wananchi wanaotarajiwa kulipwa Fidia ya Maeneo yao na Vipando vyao wakisaini karatasi za malipo katika Makabidhiano ya  (HUNDI)ya Fidia katika Eneo la Kiviwanda Dunga Zuze Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Zaidi ya Sh.Milioni Mia Tano zimetolewa kwa ajili malipo hayo
Baadhi ya Wananchi wanaotarajiwa kulipwa Fidia ya Maeneo yao na Vipando vyao waliohudhuria katika Makabidhiano ya Malipo (HUNDI)ya Fidia katika Eneo la Kiviwanda Dunga Zuze Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Zaidi ya Sh.Milioni Mia Tano zimetolewa kwa ajili malipo hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.