Mkurungenzi wa Jukwaa la ZIFF, Martin Muhando akizungumza na waandishi wa habari, kuhusiana na mafunzo ya waandishi wanaoandaa filamu Tanzania chini ya program ya kuwawezesha vijana ijulikanayo kama MultiChoice Talent Factory.Kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dk. Kiango Kilonzo na baadhi ya wakufunzi wa filamu.
Mkurugenzi wa MultiChoice Talent Factory Africa, Mwabisa Matyumza (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, kuhusiana na mafunzo ya waandishi wanaoandaa filamu Tanzania.Kulia ni Mkurungenzi wa Jukwaa la ZIFF, Martin Muhando na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dk. Kiango Kilonzo.
No comments:
Post a Comment