RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk
Nassor Mbarouk, alipowasili katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.katika Uzinduzi
wa Mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum yanayofanyika Berlin Ujerumani

akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar,alipowasili katika ukumbi
wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea
Nchini Ujerumani kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.
Samia Suluhu Hassan.katika uzinduzi wa mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum
yanayofanyika Berlin Ujerumani
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdulla,(kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa
Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk,akielekea Nchini Ujerumani
kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu
Hassan.katika uzinduzi wa mashindano ya dunia ya olimpiki maalum yanayofanyika
Berlin Ujerumani.
No comments:
Post a Comment