Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dkt Aboud Suleiman Jumbe na Mkurugenzi wa Idara ya Sera Mipango na Utafiti wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Ndg Sheha Idrissa Hamdan, walialikwa studio za Bahari FM 97.5 Zanzibar kuzungumzia masuala mbali mbali ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika Sekta za Uchumi wa Buluu
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
5 hours ago

0 Comments