Habari za Punde

Kikao cha kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya

 Afisa utumishi  rasilimali watu wa Baraza la Vijana Zanzibar Rahma Suleiman Jumanne akiwasilisha mada  "malengo ya Baraza la Vijana Zanzibar" katika kikao cha kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya zote za Unguja kilichofanyika  huko Ofisi za Baraza Mwanakwerekwe Zanzibar.
Baadhi  ya wajumbe wa kamati tendaji za Baraza la Vijana Zanzibar za Wilaya zote za Unguja  wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika huko Ofisi za Baraza la Vijana Mwanakwerekwe Zanzibar. 

 Katibu wa Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi "B" Amina Mohammed Waziri akisoma ripoti ya miezi mitatu katika kikao cha Kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya zote za Unguja  kilichofanyika huko Ofisi za Baraza Mwanakwerekwe Zanzibar. 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar  Salum Issa Ameir akisikiliza  changamoto za Vijana katika kikao cha kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya  zote za Unguja kilichofanyika huko Ofisi  za Baraza Mwanakwerekwe Zanzibar. 
Baadhi  ya wajumbe wa kamati tendaji za Baraza la Vijana Zanzibar za Wilaya zote za Unguja  wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika huko Ofisi za Baraza la Vijana Mwanakwerekwe Zanzibar. 
 


Picha na Bahati Habibu BVZ

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.