Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameweka Jiwe la Msindi Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Akiwa Katika Ziara Yake

MUONEKANO wa jengo la Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja likiendelea na ujenzi wake leo 23-10-2023 limewekewa Jiwe la Msingi la ujenzi wake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ziara yake katika Mkoa huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wakuu Vikosi vya Ulinzi na Usalama alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazani Unguja, akiwa katika ziara yake na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi hiyo leo 23-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mhandisi Abel Ben akitowa maelezo wa michoro ya ujenzi huo, wakati wa ziara yake na kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo leo 23-10-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhammed Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2023, akiwa katika ziara yake katika Mkoa huo kutembelea Miradi ya Maendeleo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia na kupiga makofi wakati Mshairi maarufu Zanzibar Ndg.Kassim Yussuf akisoma shairi wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2023, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mkoa huo

WANAFUNZI na Wananchi wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023

WANANCHI wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Donge, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi mbalimbali zilizotolewa na Wananchi wa Donge kwa ajili yake, akikabidhi na Bi. Fatma Saleh (Bi.Ukindu) baada ya kuzungumza na Wananchi wa Kijiji hicho na kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakati  wa ziara yake leo 23-10-2023
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.